Fundi wa mpira toka DRC Congo Jangwani mapema

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Winga Teleza na mmwaga maji hatari kutokea Taifa la Congo kanaswa kwenye Nyavu za Wananchi na kila kitu kinaenda vizuri na kesho kuna uwezekano mkubwa akatangazwa na kuungana na Jeshi la Kijani.

Anaitwa Max Nsengeli ni mchezaji wa Pembeni ambaye Mapishi yake hayajawahi kuwa bokoboko.
 
Wanatamani wangekuja airport waibe tena lkn ndo ivyo tenahela zote wamemalizia kwenye ule mtego wa fabrice mdundiko wiki ile,injinia pepo ataiskia kwa akina mtume tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…