Fundi wa radio ya gari mbeya

Fundi wa radio ya gari mbeya

Gucci 2

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
31
Reaction score
23
  1. Habarini, kuna anaemfahamu fundi radio ya gari mbeya? Radio yangu hairespond chochote na inajizima na kujiwasha. Asanteni
 
nenda mkendo garage pale soweto ila kama tatizo ni kubwa waambie hapo hapo mkendo garage wakuelekeze kwa fundi radio ambae yupo soko la soweto kajichora tatoo mkononi, Yupo vizuri sana yule fundi
 
Fundi ni mmoja tu n ndo kazi yake yupo soweto hapo sokoni
 
Back
Top Bottom