nenda mkendo garage pale soweto ila kama tatizo ni kubwa waambie hapo hapo mkendo garage wakuelekeze kwa fundi radio ambae yupo soko la soweto kajichora tatoo mkononi, Yupo vizuri sana yule fundi[/QU
AsanteFundi ni mmoja tu n ndo kazi yake yupo soweto hapo sokoni
Nilimpata fundi akanirekebishia..asanteni SanaFundi ni mmoja tu n ndo kazi yake yupo soweto hapo sokoni