Fundi wa rangi(metallic) mbeya

Gucci 2

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
31
Reaction score
23
Habarini Wana jamii forum. Ni wapi mbeya ninaeza pata fundi mzuri anaepiga rangi (metallic) na kurekebisha bodi, bodi yangu imesagika kidogo chini. Natanguliza shukrani.
 
Attachments

  • IMG_20180115_134404.jpg
    172.7 KB · Views: 99
Habarini Wana jamii forum. Ni wapi mbeya ninaeza pata fundi mzuri anaepiga rangi (metallic) na kurekebisha bodi, bodi yangu imesagika kidogo chini. Natanguliza shukrani.
Nenda mkendo pale soweto, Garage inaangaliana na .Hotel ya "Mbeya paradise"
 
Habarini Wana jamii forum. Ni wapi mbeya ninaeza pata fundi mzuri anaepiga rangi (metallic) na kurekebisha bodi, bodi yangu imesagika kidogo chini. Natanguliza shukrani.
Kwa MBEYA mcheki 0757581397 ni Fundi mzuri ana paka aina zote za Rangi
 
PELEKA KWA MCHINA KULE UYOLE KARIBU NA KIYUO CHA DALADALA CHA KILIMO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…