Fundi wa samani za ndani anahitajika

Fundi wa samani za ndani anahitajika

Lacute

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
337
Reaction score
163
Wanahitajika mafundi furniture watatu wenye uzoefu. Eneo la kazi Ni Kigamboni Dar es Salaam.

Sifa
  • Nidhamu ya kazi
  • Msikivu
  • Mkazi wa Dar
 
Kituo cha kazi ni wapi? Ferry,Mbutu ,Geza ,Pemba Mnazi ,Mwembe Mdogo ,Buyuni ,Mjimwema ,Ungindoni?
 
Kuna mawasiliano hapo kwa ajili ya "fundi" mwenye uhitaji na anaeweza kufika kigamboni.
 
Back
Top Bottom