Habari za leo wadau. Natafuta fundi anayeweza kujenga tanki la maji la chini ya ardhi kuanzia tanki lenye ujazo lita elfu 24 za ujazo na kuendelea. Ningependa awe fundi asiyetumia teknolojia ya matofali lakini hata kama ni wa matofali naomba uni PM tuzungumze biashara. Nitafurahi hyo fundi awe wa Dar es Salaam na karibu na Goba