Fundi wa umeme jenereta

Fundi wa umeme jenereta

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
186
Jamani kwa mgao huu wa umeme ndugu yangu anahitaji fundi wa umeme wa jenereta ili aweze kucheck jenereta yake na kui-connect kwa nyumba yake (Sinza). Ni jenereta y amatumizi ya nyumbani...

Naomba anayemfahamu fundi yeyote au kama kuna mtaalamu wa aina hiyo humu JF ani-PM au anijibu kwa thread hii ASAP.

Asante
 
''Mwaka huu hatutegemei kuwa na mgao wowote wa umeme kwani mabwawa yote yamejaa maji ya kutosha''!

Vp umeshasahau haya maneno?
 
Jamani hakuna fundi wa umeme wa jenereta??
 
nilichelewa kuona tangazo. kama hujapata nipigie 0732 200 494 au 0656 898 431 meshack
 
Back
Top Bottom