Fundi wa urembo wa kona,madirisha na nguzo za nyumba

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
855
Nahitaji kufahamu fundi wa kuremba nguzo, kona za nyumba na madirisha anayepatikana Arusha na bei ya kazi hiyo kwa kila dirisha,kona na nguzo,nina kazi.
 
Attachments

  • IMG-20250319-WA0000.jpg
    81.5 KB · Views: 61
Mkuu ungetuma picha nyingi kuonesha ujuzi wako na design mbalimbali, bei zako na unapatikana wapi?
 
Yaani hii ni fursa umetoa ila vijana wako busy na kubeti wanalalamika ajira hamna. Mkiambiwa muende veta mnasema mnatukanwa.
 
Mkuu ungetuma picha nyingi kuonesha ujuzi wako na design mbalimbali, bei zako na unapatikana wapi?
Mimi natafuta fundi wa urembo naona kimya,ina maana huku Arusha hakuna fundi, nina project yangu maeneo ya Karatu.
 
Dirisha Tsh 40,000
Nguzo Tsh 45,000
Kona Tsh 40,000
Skating Tsh 200,000

Napatikana Temeke Dsm Tanzania popote nakufikia...

0789005562

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…