Fundi wangu ananiangusha wallah!!

Fundi wangu ananiangusha wallah!!

Mungu amebariki kazi za mikono yake. Kama kwenye ufundi yuko vizuri, wacha apige kazi. Kwenye mambo ya communication skills waachie wazungu.
 
Nilimuamini sana anapiga kazi ambayo ata graduate wa civil anasubiri lakini huu ndio muandiko wake nimechoka.
View attachment 2488217

Bora wako hata hiyo kuandika anaweza mi wangu alitoka mkoani hata kusoma hajui ila ni fundi balaa nimemnunulia na simu lakini wapi ndio hapo kilipogundua hajui kusoma wala kuandika ila kila kazi unayompa anaweza
 
Skills anazo, elimu ya dunia ndio hana tu huyo.

Hatari sana, ndio tujue binadamu tuna uwezo wa kufanya mambo bila hata kupitia class.
 
Mtu akinitumia meseji ya hivyo huwa simjibu kitu, akiuliza namwambia sijaelewa alichoandika
 
Huenda hakusoma, ila yote kwa yote kila mmoja ana mapungufu yake. Muhimu mnaelewana na kazi anafanya kwa ufasaha hayo mengine muachie yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom