Nilimuamini sana anapiga kazi ambayo ata graduate wa civil anasubiri lakini huu ndio muandiko wake nimechoka.
View attachment 2488217
Skills anazo, elimu ya dunia ndio hana tu huyo.Bora wako hata hiyo kuandika anaweza mi wangu alitoka mkoani hata kusoma hajui ila ni fundi balaa nimemnunulia na simu lakini wapi ndio hapo kilipogundua hajui kusoma wala kuandika ila kila kazi unayompa anaweza