Fundi welding na mziba pancha wanahtajika.

Fundi welding na mziba pancha wanahtajika.

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Habari ndugu zangu nimefungua kijiwe cha welding na compressor kwa ajili ya kuunga vyuma na kuziba pancha za magari yote ,

Hivyo wanahtajika vijana wawili kwa ajili ya kazi hizi alie tayari ani pm

Location ushrombo karibu na sheli ya moil.
 
Back
Top Bottom