Funga mwaka na King Kiba ebanaaa ehee hapo vepeee

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Tarehe 26 vepee..king Kiba Vepee
Yani i can't wait..tukutane escape ka Vepee
Kwani we vepee😂😂😂😂😂
 
Wanawake wa humu sujui vipi. Sasa hiyo ndio lugha gani?
 
Huyu kachanganya pombe kabisaa
Tarehe 26 vepee..king Kiba Vepee
Yani i can't wait..tukutane escape ka Vepee
Kwani we vepee?-???‚?-???‚?-???‚?-???‚?-???‚
 
Tarehe 26 vepee..king Kiba Vepee
Yani i can't wait..tukutane escape ka Vepee
Kwani we vepee
Tangu konyagi iboreshwe munaiona kama mnakunywa maji.
 
Excitement ya kuigiza utaijua tu manake utafikiri mchuzi wa samaki mbichi asiyewekwa ndimu!
 
Hiyo part bora mnesherehekea mirembe kama watu wenyewe ndo dizain hii
 
Tarehe 26 vepee..king Kiba Vepee
Yani i can't wait..tukutane escape ka Vepee
Kwani we vepee😂😂😂😂😂

Bado nasisitiza kuwe na watu maalumu wa kuanzisha uzi ili kuepuka topic za kipuuzi kama hizi😡😡
 
Inabidi kodi iongozeke kwenye vileo
 
Mbona kedrick anaanzisha thread za kijinga mnavunga kama haikuhusu kuwa mpole tu
Maana watu wanamwaga povu
 
Stop being sad..life is too short
Ukitaka thread za kisiasa nenda kwenye politics ..this is just for fun..stop making
Others be sad like you..hutaki husi comment
Husifungue thread..mnataka thread ziwe serious ili iweje??y'all think I can't come up with a serious thread ..mxiiiiiiii madafaka...King kiba anawaumiza sana nyie wenye team a na team B..acheni chuki pendeni mziki wa nyumbani bila kujali team..me nawapenda wote Ali na Naseeb..cause napenda mziki mzuri na wote wana mziki mzuri
 
Mpaka sasa ni watu 18 tumechangia hii thread.hili onesho litadoda pamoja na promo zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…