Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ngoja tusubili maoni ya wadau tujue ukweli uko wapiNahisi kinachofanya wanaume wawe wanachepuka ni kuzidiwa na nguvu nyingi za kiume ambazo mwanamke mmoja hawezi kuzimudu na kumtolesheleza. Nguvu za kiume ambazo wanaume wanazo , mwanamke mmoja hana uwezo wa kuzimudu
Always maximise your optionsWanaume nawapa hii sheria " tafuta mchepuko anayemzidi uzuri mke wako" utakuja unishukuru baadae.
🚮Wanaume nawapa hii sheria " tafuta mchepuko anayemzidi uzuri mke wako" utakuja unishukuru baadae.
Unafwata nyayo za mobutu seseko wa kubanga kweli ww unamkubali idol wakoNina mwaka sasa tangu nimuoe mke wangu, nimechepuka na mchepuko mmoja tangu kipindi hicho.
Naona haujaelewa Code hiyo umeona ni traaashh
mwanamke huyuhuyu ambaye anaweza kulala na wanaume watano kwa siku,mwanamke huyuhuyu anayepitisha mtoto mwenye kilo mbili na ushee alafu wewe unakuja kusema mwanamke hawezi kumhimili mwanaume mmoja. Acha masikhara sheheNahisi kinachofanya wanaume wawe wanachepuka ni kuzidiwa ( kuwa na nguvu nyingi kupita kiasi ) na nguvu nyingi za kiume ambazo mwanamke mmoja hawezi kuzimudu na kumtolesheleza. Nguvu za kiume ambazo wanaume wanazo , mwanamke mmoja hana uwezo wa kuzimudu
Mbona hadi wasio na nguvu za kiume wanachepuka?Nahisi kinachofanya wanaume wawe wanachepuka ni kuzidiwa ( kuwa na nguvu nyingi kupita kiasi ) na nguvu nyingi za kiume ambazo mwanamke mmoja hawezi kuzimudu na kumtolesheleza. Nguvu za kiume ambazo wanaume wanazo , mwanamke mmoja hana uwezo wa kuzimudu
Hii nayo ni dhana tu, si ushinde siku nzima na mke wako uone kama hizo nguvu utakuwa nazo!?Nahisi kinachofanya wanaume wawe wanachepuka ni kuzidiwa ( kuwa na nguvu nyingi kupita kiasi ) na nguvu nyingi za kiume ambazo mwanamke mmoja hawezi kuzimudu na kumtolesheleza. Nguvu za kiume ambazo wanaume wanazo , mwanamke mmoja hana uwezo wa kuzimudu
Kinachofanya wanaume tuwe malaya ni Saikolojia tu hakuna kingine ila wanawake ni wale wale
We umesahau siku ya kwanza kumtokea mke wako ni kitu gani kilikuvutia ? Kwani hiko kitu hakipo
Mazoea tu yanakufanya umchukulie poa wife wako
Hhhh unataka ugomvi na wanawake wafupiAcha utani mkuu, kwa sasa natamani mwanamke mrefu mwembamba... Unajua kwanini?
Nataka wakati namnyandua asilalamike dudu inamuumiza alafu wakati nainyandua ziwa liwe mdomoni.... Hawa wanawake wafupi ukitaka ziwa liwe mdomoni huku mashine ikiwa kazini unaweza kuvunja mtoto wa mtu mgongo au wewe kuvunjika.
Tatizo unaweza ukajikuta umenogewa zaidi njeMke si chombo cha starehe, uko nje ni vyombo vya starehe.
Pamoja na kwamba siungi mkono Umalaya
ILA kwa wale walisoma Biologia vizuri wanajua kuwa, kuna watu wapo very active na wengine wapo very low
Hayo yakikukuta utakuja hapa kuandika vingine. Na ndio sababu wenzetu Waislam wakaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja ili kuepusha kuchepuka!