Funga zipu! Hata Mkeo ni mzuri, sema tu umemzoea

Acheni visingizio, mnajitutumua tu.
 
Basi nimeelewa kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake warefu!
 
Kinachofanya wanaume tuwe malaya ni Saikolojia tu hakuna kingine ila wanawake ni wale wale

We umesahau siku ya kwanza kumtokea mke wako ni kitu gani kilikuvutia ? Kwani hiko kitu hakipo
Mazoea tu yanakufanya umchukulie poa wife wako
Mkuu awazoeleki Wale labda wawe dada wa kuzaliwa hawafai kabisa
 
Nadhani utamu wa K n kama ladha ya kitu fulani maybe tuseme chakula, ww kuna chakula unaki-enjoy sana ila wngn hawakipendi.

Khs utamu wa K tunaojua n wanaume na sio wanawake, wanawake hawawezi kuelewa hii, n sawa na utamu wa uboo nyie girls ndo mnaelewa tofaut na sisi boys.
 
Hmm hapa kazi ipo kaazii ipoooooπŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…