Fungate: Mwanamuziki mkongwe na mbunge wa Mikumi, Prof. J kufunga ndoa na Grace

Majs

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
232
Reaction score
516

Pichani mbunge wa Mikumi, Professa J akiwa na rafiki yake kwenye send off ya mkewe tayari tayari kwa fungate hivi karibuni.​


Pichani mke mtarajiwa wa professa, Bi Grace akiwa kwenye send off yake hivi karibuni.


Pichani wapendanao wakiwa kwenye mizunguko ya kila siku.​
 
safi mwana`LUTENGANO mwenzangu,mungu akutangulieni kwenye maisha yenu mapya ya ndoa..
 
Mheshimiwa anaoa "MZUNGU" wa kitanganyika
kila la heri J
[HASHTAG]#HappyBirthdayToMe[/HASHTAG]
 
Kendrick Lamar kwenye wimbo wa humble alijiimbia tu...

I'm so fucking sick and tired of the Photoshop...
Show me something natural like afro on Richard Pryor...
Show me something natural like ass with some stretch marks.

Naona mbunge mwanaHipHop hakumwelewa Kendrick
 
Hivi huyu mwanamke ndio aliye zaa nae yule mtoto wa kike aliye nae au...

otherwise, kila la heri wajina
 
Hongera prof J kwa kupata jiko.Lakini naomba kujua tu ivi hii ndio ndoa yake ya kwanza au alishawahi kuoa kabla?sio kwake tu swali hili liko kinyume chake pia (kwa mkewe)Yote kwa yote nimtakie ndoa njema na mzungu wake
 
"Show me something natural like ass with some stretch marks"
Wadada wa mjini cku hz hawataki kabisa hayo mamichirizi...!!
 
kwan unadhani huo ufake anakua nao mpk kwenye real life, lol think big.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…