Hahahahahaha ahadi ni deniMim nasubiria ahadi yake aliyo ahaidi atapeleka wanafunzi makundi kwa makundi kwenda kufanya practical mwezini...
J amaezaa na huyo huyo mwanamke aliye muoa na mtoto wao ni mkubwa, kiufupi waliishi miaka mingi tu pamoja kabla ya kuamua kufunga ndoaHapana sio hivyo...niliwahi kumuona kipindi fulani ana mtoto..ndio maana nimeuliza
Hii hoja aliishaijibu kwenye kikao cha dharura "sio mzee" alisema amesikia huko kuna kambi za Osama so ni very dangerousMim nasubiria ahadi yake aliyo ahaidi atapeleka wanafunzi makundi kwa makundi kwenda kufanya practical mwezini...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume wa Dar ni wadaku kwani?Embu tusubir wanaume WA Dar waje, maana hawataacha kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Embu tusubir wanaume WA Dar waje, maana hawataacha kitu.
anhaa..sawa aseehJ amaezaa na huyo huyo mwanamke aliye muoa na mtoto wao ni mkubwa, kiufupi waliishi miaka mingi tu pamoja kabla ya kuamua kufunga ndoa
eddo kumwembe niaje?safi mwana`LUTENGANO mwenzangu,mungu akutangulieni kwenye maisha yenu mapya ya ndoa..
Kwani we mkunga?Kumbe na mimi nimzalishe tu kwanza ntafunga huko mbele ya safari
be humble sit down..Kendrick Lamar kwenye wimbo wa humble alijiimbia tu...
I'm so fucking sick and tired of the Photoshop...
Show me something natural like afro on Richard Pryor...
Show me something natural like ass with some stretch marks.
Naona mbunge mwanaHipHop hakumwelewa Kendrick
acha kukariri...eddo kumwembe niaje?
Hii inaitwa limited thinking! Kwa sababu wewe ni midwife ukafikiri basi ni wote!...endelea tu na kazi yako mkuuKwani we mkunga?
tuliza popo wewe, kwani kujibu tu si wewe unakuwa bashite?acha kukariri...
Mungu awatangulie katika safari yao ya ndoaView attachment 537178
Pichani mbunge wa Mikumi, Professa J akiwa na rafiki yake kwenye send off ya mkewe tayari tayari kwa fungate hivi karibuni.
View attachment 537177
Pichani mke mtarajiwa wa professa, Bi Grace akiwa kwenye send off yake hivi karibuni.
View attachment 537179
Pichani wapendanao wakiwa kwenye mizunguko ya kila siku.