Katika #teamVitambi wataalamu wanavitambua hivo vitambi kama "VITAMBI MCHUCHUMIO", hivi vimekaa kama muundo wa herufi "D". Eti kinatokana sana sana na kula michemsho na bia za ofa.[emoji2955][emoji848]
NB Kuna baadhi ya wasanii muda si mrefu watavipata (Steve Nyerere na Likwid miongoni mwao).
Rejea hapa kwa maelezo zaidi.
Si mtu mwenye kitambi, ila sina fikra potofu na unyanyasaji juu ya wale wenzetu wenye vitambi (kwa lugha za vijana "watu wenye mgeni"). Bali ni mchambuzi tu wa kina kwenye maswala ya kijamii.[emoji18] Katika maisha yangu, sijawahi kusikia kuna mtu ambae ameamka saa 11 asubuhi, na kuweka nia ya...