Fungis sugu ktk sehem za siri husababisha ugumba

Fungis sugu ktk sehem za siri husababisha ugumba

LOMBOGO

New Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2
Reaction score
0
dr naomba kujua fangus ni muda gan huchukua had kusababisha ugumba na tatizo kama hili likitokea solution yake ni nn.
 
Fungus wengi kwenye mwili wa binadamu si ku coz diseas bt nikulind mwili kwa mfano kwenye genital area kwenye uke kuna fungu known as "candidas albican" huyu yeye anatengeneza sumu ambayo inaua bacteria wengine wanao ingia kwa njia ya uke, yote hii ni kukulinda wewe so nikawaida hawa fungus kuwepo lakin wanapo zid ndipo husababisha maradhi lakin maradh mengi yanao sababishwa na fungus niku washwa sana kama Vagina itchng,Vaginaitis, yan kuvimba kwa uke sometime uke unaweza kutoa ute mweupe mara kwa mara! So nivizur kuwa wasafi, sanasana wadada! Nadhan nimejibu swali lako?
 
Back
Top Bottom