me siamini kama kweli mtu waweza penda kama huna akili timamu.
Don't get me wrong but i think LOVE DOESN'T MAKE NO SENSEMy first love wa a jerk... Nili sacrifice a lot of things, a quality and quantity of my life time kwake..
Alinipanda, alinikanyaga, alininyanyasa kijinsia in short alinishika masikio na nilikua sifurukuti..
I was in love than i had never been before nafikiri ilichangiwa na the fact kua he was my first love
and first man to show me love and its wonderful intimacy side of it... BUT he was a Jerk!
Pamoja na yoote niliyoyapitia i have never regretted for imenifanya niwe appreciative sana
kwa a guy who loves and cares for me (sichukulii for granted).. I don't regret because i have
a wonderful child from him - I don't regret because he made me grow up in a woman who
now understands her self na which line to draw inapohusisha the man i love... (my hubby)
I don't regret because experience kama hizi is good for the soul and mind mradi uwe
na nguvu ya kurise... na napenda the fact kua ana regret and wishes tungekua
pamoja (F** him!).. Mbu hapa am sorry...
Kwa wanaume mara nyingi ikitokea hivyo ni kazi kurudi... kikubwa ni kumpata mdada
mvumilivu na aelewe the situation ya the guy...
Mmmmhhh
ninachoelewa ni ngumu
kependa tena na kumtrust mtu
yeyote.. zidi kusukuma siku mbele
and hope for the best... tafuta
furaha na amani moyoni mwako
..look after yourself 1st...
My first love wa a jerk... Nili sacrifice a lot of things, a quality and quantity of my life time kwake..
Alinipanda, alinikanyaga, alininyanyasa kijinsia in short alinishika masikio na nilikua sifurukuti..
I was in love than i had never been before nafikiri ilichangiwa na the fact kua he was my first love
and first man to show me love and its wonderful intimacy side of it... BUT he was a Jerk!
Pamoja na yoote niliyoyapitia i have never regretted for imenifanya niwe appreciative sana
kwa a guy who loves and cares for me (sichukulii for granted).. I don't regret because i have
a wonderful child from him - I don't regret because he made me grow up in a woman who
now understands her self na which line to draw inapohusisha the man i love... (my hubby)
I don't regret because experience kama hizi is good for the soul and mind mradi uwe
na nguvu ya kurise... na napenda the fact kua ana regret and wishes tungekua
pamoja (F** him!).. Mbu hapa am sorry...
Kwa wanaume mara nyingi ikitokea hivyo ni kazi kurudi... kikubwa ni kumpata mdada
mvumilivu na aelewe the situation ya the guy...
Yaaaaani hiyo bold inanihusu kabisa lol!!!! mwanajamiiOne mie sikuwahi kuumizwa kabisa na kuvunjwa moyo kipindi cha u GF hadi baada ya ndoa ndio nilikiona cha mtema kuni, ila ni baada ya kipindi kirefu tu na ikikutokea unayumba haswa maana gharika lake linakuwa na nguvu ya elninyoAshaD I salute you!! Yaani kweli umekomaa kimapenzi na hivi ndivyo wengi tunatakiwa kuwa....umependa, ukaumizwa tusiichukulie ile kuumizwa kama mkosi bali kama baraka ya kutufunza jinsi ulimwengu wa mapenzi ulivyo.I believe ambaye ameingia kwenye mapenzi bila kuumizwa hata kama anaishi maisha ya raha vije ..bado ni naive kwenye mapenzi na siku gharika lolote hata dogo likimtokea impact yake kwake itakuwa kubwa sana.
Lets us learn from the Maumivu so that we appreciate wapenzi wetu.
hapo kwenye red hapo mydia nakuunga mkono kabisa..........wanawake tumeumbwa kusahau kama tutasahaulishwa..... ila nijuavyo wanaume wameumbiwa mioyo migumu so kuumizwa kwao huwa si rahisi sana but ukimpata aliyeumizwa akaumia inakuwa ngumu sana kwa yeye kutrust...................sana sana atakuwa anatoa kauli ya ...Wanawake ndivyo mlivyo......all the time.
Big up broLOVE............!(vyovyote itakavyoutwa MAPENZI,MALOVEEE,KUPENDANA)
it's a problem without solution
Don't get me wrong but i think LOVE DOESN'T MAKE NO SENSE
AshaD I salute you!! Yaani kweli umekomaa kimapenzi na hivi ndivyo wengi tunatakiwa kuwa....umependa, ukaumizwa tusiichukulie ile kuumizwa kama mkosi bali kama baraka ya kutufunza jinsi ulimwengu wa mapenzi ulivyo.I believe ambaye ameingia kwenye mapenzi bila kuumizwa hata kama anaishi maisha ya raha vije ..bado ni naive kwenye mapenzi na siku gharika lolote hata dogo likimtokea impact yake kwake itakuwa kubwa sana.
Lets us learn from the Maumivu so that we appreciate wapenzi wetu.
hapo kwenye red hapo mydia nakuunga mkono kabisa..........wanawake tumeumbwa kusahau kama tutasahaulishwa..... ila nijuavyo wanaume wameumbiwa mioyo migumu so kuumizwa kwao huwa si rahisi sana but ukimpata aliyeumizwa akaumia inakuwa ngumu sana kwa yeye kutrust...................sana sana atakuwa anatoa kauli ya ...Wanawake ndivyo mlivyo......all the time.
AD umenena vema but hiyo look after yourself first, sometimes the person anayemzungumzia ni sehemu ya hiyo self yake yeye.......one cant ignore!