How can a woman hearts somebody like TF, from his posts, i can see his innocentismI understand where it is coming from but it is worth it!
Unanitia wasi was PA for inaonesha you still have a grudge
na mtu alokuvunja moyo... nime observe your line since jana
from another post..
Yaaaaani hiyo bold inanihusu kabisa lol!!!! mwanajamiiOne mie sikuwahi kuumizwa kabisa na kuvunjwa moyo kipindi cha u GF hadi baada ya ndoa ndio nilikiona cha mtema kuni, ila ni baada ya kipindi kirefu tu na ikikutokea unayumba haswa maana gharika lake linakuwa na nguvu ya elninyo
Sijui mapenzi yameumbwaje AD unaweza kuwa na kila kitu, unaweza jipa raha sana tu, unaweza kuwa na marafiki wengi wakakupa company..........but still you'll see something is missing somehowMJ1 mambo vipi dear..
nway naelewa kwamba hiyo
self inaweza kum involve yule
mwingine kwa kiasi kikubwa sana..
lakini nilichokuwa na suggest hapo
ni kutafuta njia ya kujitunza na
kufurahisha nafsi yako binafsi..
mfano chukua holiday, ungana na
marafiki fanya vitu wewe uvipendavyo kusukuma muda mbele na kujaribu ku minimuse
feelings and thoughts za upande
wa pili...
santeee
Mwanjamii I want you to know you have made me happy... saana
na nashukuru pia kwa muono wako kufanana na wangu - ndio yahitaji
moyo, nguvu na ujasiri but for a woman i believe ukizaa inabidi ikukomaze
ki akili na kimatendo pia... namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo...
The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:
Asha D (Today)
No changes shall made or whatsoever PA is an honorI understand where it is coming from but it is worth it!
Unanitia wasi was PA for inaonesha you still have a grudge
na mtu alokuvunja moyo... nime observe your line since jana
from another post..
Mi mzima bukher mydia.najaribu tu kusogeza siku ilhali nikiutafakari ulimwengu huu wenye madhila ya kila namna. Hope uko pouwa.MJ1 mambo vipi dear..
nway naelewa kwamba hiyo
self inaweza kum involve yule
mwingine kwa kiasi kikubwa sana..
lakini nilichokuwa na suggest hapo
ni kutafuta njia ya kujitunza na
kufurahisha nafsi yako binafsi..
mfano chukua holiday, ungana na
marafiki fanya vitu wewe uvipendavyo kusukuma muda mbele na kujaribu ku minimuse
feelings and thoughts za upande
wa pili...
santeee
How can a woman hearts somebody like TF, from his posts, i can see his innocentism
Sijui mapenzi yameumbwaje AD unaweza kuwa na kila kitu, unaweza jipa raha sana tu, unaweza kuwa na marafiki wengi wakakupa company..........but still you'll see something is missing somehow
No changes shall made or whatsoever PA is an honor
Gaga when someone hurts you do you think he/she looks whether you are innocent???, mwenzako anajifanyia tu he/she would less care about your feelings or what you will feel or how would you feel.How can a woman hearts somebody like TF, from his posts, i can see his innocentism
Hahahaha!!! Nyie watu ngoja niingie mitini lol!!!!Am telling you he is a good guy and i also see the innocentism in him;
but i guarantee with his attitude towards love - he is so not into it right now.
Yawezekana yupo katika relationship but i think maybe out of obligation tha love...
...rafiki yangu alinambia ameumizwa sana kwenye mapenzi kiasi kwamba anaona moyo wake umekufa ganzi, amekuwa mkatili,...hawezi kupenda tena!
Kina dada, na kina kaka....wazee kwa vijana. Najua kwa namna moja au nyingine
mshakumbana na wenye hali hii. Mnatoa maoni na ushauri gani kuweza kusaidia kwenye situation
hii.
...Unapopendana na mtu wa aina hii, utajuaje anakupenda na si kwamba yumo mguu ndani mguu nje?
Hahahaha!!! Nyie watu ngoja niingie mitini lol!!!!
Sijui mapenzi yameumbwaje AD unaweza kuwa na kila kitu, unaweza jipa raha sana tu, unaweza kuwa na marafiki wengi wakakupa company..........but still you'll see something is missing somehow
mekuelewa mamii, but what ever it is, you mus going throug tough time right now, mekumbuka ile thread yako iliyonitia huzuni sanaNi kweli kabisa mpendwa
utagundua tu kuna kitu kimepungua
lakini ni muhimu kutafuta vitu vya
kupunguza hilo pengo kidoncho tu
kwani ni vigumu kuziba kabisa pengo hilo mwenyewe..mpaka
pale atokee au umpate msaidizi..
but for now I have to do whatever I can to survive...
my dear hiyo ni mimi tu lakini
kila mtu ni tofauti na njia zake..
santeee
Pendo,mapenzi,Kupenda naamini nikwamba penzi ni mara moja!!haijalishi upo katika status gani yule unaye mpenda kwa wakati huo ndiye roho yako imemwangukia!!Kwa maana hiyo ukiwana na mke nyumbani ukakutana na Afrodenzi ujue huyo ndo unayempenda wanyumbani huna mapenzi naye! hivyo narudi huku hakuna aliyeumizwa nikwamba mda wake wakupendwa umeisha ajipange upya hakuna kulalamika nimetendwa NO!!
AshaD I salute you!! Yaani kweli umekomaa kimapenzi na hivi ndivyo wengi tunatakiwa kuwa....umependa, ukaumizwa tusiichukulie ile kuumizwa kama mkosi bali kama baraka ya kutufunza jinsi ulimwengu wa mapenzi ulivyo.I believe ambaye ameingia kwenye mapenzi bila kuumizwa hata kama anaishi maisha ya raha vije ..bado ni naive kwenye mapenzi na siku gharika lolote hata dogo likimtokea impact yake kwake itakuwa kubwa sana.
Wakati mwingine hatuwezi kujizuia kupenda tunaachia tu vitu vi floor vyenyewe, kuna watu wana mioyo ya chuma sijui wakojeGaga when someone hurts you do you think he/she looks whether you are innocent???, mwenzako anajifanyia tu he/she would less care about your feelings or what you will feel or how would you feel.