Shukrani za post hii zimwendee NN kwa msaada wa watu wa marekaniNa haya mawazo yako Kiiza, yanadhihirisha,
kuwa Mitanzania Ndivyo tulivyo!!!
If only people practice what they preach
Gaga you are right....I once asked kuwa kama most of the time tunajustify kutengana/divorce kwa sababu eti ya nini uishi maisha ya karaha yasiyo na raha wakati siku zenyewe za kuishi ni fupi, je ukiwa single parent or not parent--- Are you really happy? Je una raha ile uliyoitarajia wakati unatoka kule kwenye karaha??
Gaga amesema kitu cha muhimu sana unaweza kuwa na marafiki, unaweza kujipa raha mwenyewe lakini still you'll see something missing in the otherway round when you try to bring someone close he/she pushes you far away you go through a lot of misery.Uje ujitetee hapa... sio mambo ya Love does not make sense hapa...lol
Matatizo yakiwa makubwa sana hayavumiliki huna budi kuyaface maisha ya usingle wether you like or not, the good thing kuwa kwenye marriage ni kwamba mambo mengi mnashirikiana na kupeana company na mawazo mbalimbali sasa ukipima na kuona uzito umeelemea wapi hapo unakuwa sehemu nzuri ya kufanya maamuziGaga you are right....I once asked kuwa kama most of the time tunajustify kutengana/divorce kwa sababu eti ya nini uishi maisha ya karaha yasiyo na raha wakati siku zenyewe za kuishi ni fupi, je ukiwa single parent or not parent--- Are you really happy? Je una raha ile uliyoitarajia wakati unatoka kule kwenye karaha??
Mkuu mambo mengine magumu kweliUmesema kweli mkuuu......hizo stori zote ni porojo tupu.
Gaga amesema kitu cha muhimu sana unaweza kuwa na marafiki, unaweza kujipa raha mwenyewe lakini still you'll see something missing in the otherway round when you try to bring someone close he/she pushes you far away you go through a lot of misery.
Baba Enock amesema if you fail to control your OWN MIND, you may be sure you will control nothing else hii statement ina ukweli mwingi tu ndani yake.
Sijui mapenzi yameumbwaje AD unaweza kuwa na kila kitu, unaweza jipa raha sana tu, unaweza kuwa na marafiki wengi wakakupa company..........but still you'll see something is missing somehow
Mi mzima bukher mydia.najaribu tu kusogeza siku ilhali nikiutafakari ulimwengu huu wenye madhila ya kila namna. Hope uko pouwa.
Yep yep hapo nimekupata sawia nadhani mwanzoni nilisoma juu juu. thanx
Miongoni mwa mambo ambayo Counselling imeshindwa ni mambo hayo, kwa mfanio uliohai; mtu anakuja kwako na problem; tena ataumia lugha zile za "kipendwa". Mara ooh, yaani ndoa yangu ina moja mbili, tatu, sina amani mimi jamani, blah, blah, blah. Then you take your time, talking and discussing it, mnafikia makubaliano juu ya jambo hilo; akirudi akifika kwa jamaa yake au mke wake wameshapatana, wanaanza tena ooh huyo fulani kasema hivi na hivi, tena nadhani ndio anatuchonganisha huyu.....Duh, unaonekana kidudu mtu flani hivi, I think kwasababu hatukuwatafutia wenzi, wala hujui wala kutana wapi lini na vipi, inakuwa ngumu sana kuingilia mambo yao, tuwaache kama walivyo,, atakayeshindwa kabisa atakimbia tu.Mkuu mambo mengine magumu kweli
Ngoja nifanye mpango wa kukupeleka lunch leo for this useful post ile Pizza large size kama ya siku ile itafaa sana na large cokeThe above is true TF but it does not mean that it will always happen to be so
like i said before if you have read my first post in the thread... na enjoy Mapenzi
saizi to the maximum (ndio mikwaruzo ipo but that is what makes it worth it)
Ningefuata au kuona the first jerk! ndo sample ya guys woote saizi ningekua
mchungu saana towards kuangalia maisha which is not good...
Nakubaliana na Baba_Enock kuhusu ku control your own mind..
as much as i love my man it does not mean he can do what the first Jerk
did not me.. badala ya kupoteza dignity i will fight ki utu uzima arudi katika
mstari... haiwezekani na sepaa... kuna a lot of wanaume out there
who would want to be with me!!!
Ngoja nifanye mpango wa kukupeleka lunch leo for this useful post ile Pizza large size kama ya siku ile itafaa sana na large coke
Hebu sikia ushuhuda huu: It was June 1998, ndugu yangu alikuwa ndio amerudi toka China na Japan ambako alikua akifanya kazi huko ( kwa contract). Aliwasili home (Mkoani) jioni ya siku ya Jumamosi ambapo kesho yake ilikuwa ni siku ya Ibada. Kwa kuwa tumekuwa karibu sana, tulimuaga Mama kuwa tunatoka kidogo na tutapitia Saluni kunyoa nywele so tutachelewa kidogo; Mom's response was this; msije mkaenda kwa akina nanihii ( Girlfriend wa huyu ndg yangu). Well, tulicheka na kuondoka, yes, hatukwenda but kesho asubuhi wote wanne; yaani Mimi, huyu Ndg yangu, Sister na mtoto wa sister tukaenda ibadani, misa ya pili inayooanza saa nne.
Lengo ilikuwa baada ya ibada twende kule tulikokatazwa jana na Mom, so tuliingia ibadani na kwa Walutheri ( sijui kwa wengine) matangazo ya ndoa husomwa wakati wa ibada kipindi cha matangazo.
Nikiwa benchi la mbele na "Ndugu huyu" akiwa benchi la nyuma yangu kwa mshtuko nikahisi kama nimesikia kuwa "Tunatangaza kwa mara ya Pili ndoa kati ya ..... na ......." . Niliumia sana baada ya kuhakikisha kuwa nilichokuwa nakisikia kilikuwa sahihi. Well, ibada iliisha tukatoka and with great courage within Us ( mimi na huyu jamaa) tukaenda hadi nyumbani kwa huyu binti, wonderful enough, kufika tena tunasikia mmojha wa wadogo zake yule binti ambaye alikuwepo ibadani, akawa anamsimulia ndugu yake kuwa wakati ndoa inatangazwa leo...fulani nae alikuwepo, kisha wakacheka nasi tukabisha hodi na kuingia.....
Well, in short, baada ya mwanamke ku-apologize kwa jamaa waliondoka na kwenda "kuagana" na till today, this Guy hajaoa na sidhani kama ana mpango wa kuoa tena. My take is: sometimes when you are really hurt, you may loose the chance to ga back. so usimhukumu fulani anapotenda kitu fulani, try tio learn the historical background of that particular individual.
Nop, Okay buffet itakuwa poa maana naona siku zile wahudumu walikuwa wanatutolea macho nafikiri watakuwa walikuwa wakijiuliza hawa jamaa hawashibi nini lol!!!Kwa leo i feel more kua kule tulipata Buffet, over the weekend nilipata Pizza.. do you mind?
Nop, Okay buffet itakuwa poa maana naona siku zile wahudumu walikuwa wanatutolea macho nafikiri watakuwa walikuwa wakijiuliza hawa jamaa hawashibi nini lol!!!
Kwanza inatakiwa ujue kuwa upendo ni kwa kila mtu,mke/mume ni uchaguzi tu,akikataa au kuishia njiani,chagua mwingine miongoni mwa wanadam unaowapenda,huna haja ya kuwa kichaa!