fungua moyo!

Eti wapendwa kuhusiana na hii mada, kuna ukweli kwamba kama hujaumizwa hujapenda?

Binafsi nimeumizwa, sidhani kama nimemuumiza mtu..Kama Gaga alivyosema, mtu unaweza kujipanga nitakuwa mwenyewe na kuwa na marafiki/family ila bado kuna kitu naonaga nakikosa maishani na ni nafasi pekee ambayo haizibiki yani sijui nielezee vipi..
Hivyo basi nimesamehe na nina imani ninaweza kukutana na mtu mwingine nikiufungua moyo wangu na kukutana na upande mwingine wa penzi..

Hivyo basi, kufungua moyo ni kuzuri baada ya kuumizwa sema unakuwa mwangalifu na kuwa +ve na uhusiano mpya...Japokuwa kidonda au historia ya kuumizwa haviishagi maishani!..
 
Mbona wewe una matatizo? tena makubwa! Kumwambia umpendaye unampenda unaona kero,kujibu message na kumpigia simu huwezi? Basi si kweli, humpendi! Maana pendo halioni kero wala usumbufu. Maana imendikwa "Pendo halioni mabaya,pendo huvumilia,pendo halichoki....." Kama wewe unaona hustahili kumfanyia hayo bora uamue mapema la sivyo utamuumiza! Na kama si wewe wa kufanya hayo, basi ujue wenzako watafanya na kupata credit!
 

Kuna mhadhiri mmoja (jina tunalo) aliwahi kuhubiri na nadhani alikuwa anatumia mic ya australia manaake ilikuwa na sauti kubwa sana, alisema yafuatay:

"Jamani tusijihukumu pale mambo yanapokwenda mrama na ni marufuku kabisa kumuhukumu mtu kwa kosa alilofanya mwengine, Kwa aliekutenda basi amekupa ujasiri wa kukabiliana na mwengine na sio ujasiri wa kumdhalilisha mwengine, Thamani ya nazi hujulikana ikipelekwa sokoni na thamani ya ubinadamu hupimwa kwa kuwekwa majaribuni" Mwisho wa kunukuu.

Nilitaka kusikiliza yale mahubiri mpaka mwisho lakini kulikuwa na mdada mbele yangu kavaa mawigi aaargh akaniboa nikatimua zangu.
 
MJ1 umekumbwa na nini tena jamani:A S-rose:
Wewe ni kati ya watu nisiopenda kusikia wala kuona wanasononeka ....
....Ah Mamito ndo wanasemaga Matters of the Heart eh? Hata sijielewi kusema ukweli. Ngoja kwanza nitafakari na kutafakuri pengine ntapambazua haya yanonfika. But worry not sweetie and thank you for your concern!

Hahahaha lol! MJ1 hivi nakuibia andawea yako halafu unakuja ikuta juu ya kamba yangu, matokeo yake unakua unachukua unavaa halafu unafua unanirudishia pale pale, hiyo si bora utembee without tu lol

Matty huu mfano umenichekesha......so ni sawa na kujidanganya moyo eh!!
 
Reactions: Mbu
Thanks MBU for this post today, let me start with that!!

Love is a wonderfully thing which will never end for each of us, we real need to open our heart once broken just to give another little space for upcoming love.
That's ALL.
 
Reactions: Mbu
Jibu lake ni kwamba hampendi, akipata anaempenda yeye ndio atakuwa analalamika hatumiwi msg wala kupigiwa simu na mengine kama hayo
 
Sometimes love is like a gamble game, you will never know if you are on the right track of not!

Believe it or not, none of us can bride himself/herself kwamba ameyashinda mapenzi!

You never know when you will cry. Just a simple advise, keep one door open for disappointment, you might need it one day!

Need I say more.....?????
 
Bora kufunguka tu Belinda maana unaweza usifunguke ukajikuta unajiumiza mwenyewe
 
Uko saw kabsa gaga,thanx a lot unawez kuenjoy na frndz na kila k2 bt wat hapens wen evrbd goes home?
 
Alikutumia picha ya nini? kweli miafrica ndivyo tulivyo
 


Manumbu sikuona vizuri hii kitu for so typical of men thinking you are the only strong people katika mambo ya mahusiano, hayo yoote uloongea ni kweli but sikubali kua ukiachwa huwezi pata nguvu ya kurudi... soma post yangu ya kwanza and nili rise, Ukweli ni kwamba mwanamke akipenda anapenda saana bu once amekutoa kakutoa kweli.. nyie guys ukipenda mwanamke you overcome the fact kua no need ya kua nae but rohoni and in bed with you wife it is her you are ba** which is worse... mwanamke akipata the right guy in the right package believe me you ni rahisi kukupotezea akilini as well as moyoni ...



That statement on behalf of the ladies and mamas out there I REJECT!!!

The rest of the paragraph a guy kurudi ndo shida... ampende mwanamke wholeheartedly alfu atibuliwe, wataofuata woote watamtambua with his stupid poor negative attitude towards women with a few exceptions...
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…