fungua moyo!


...nimeipenda sana hii positive mental attitude yako, big up Asha D.
 

MwanajamiiOne, chukulia mfano wangu...
at the moment am so in love sina haja ya kuambiwa ukweli au urongo.,..nataka nipende tu thats all!!!
 
Ahaaa ahaaa mkuu una inhale na ku-exhale love
 
Reactions: Mbu
Loooo bora wangu maana yule kichwa ngumu alikuwa anakusumbua bora umepata pumziko la moyo Mbu, ila kabla hujaingia sana deep, make sure usije fanya mistake kama za nyuma, msome, umjue vizuri, pima upendo wake kwako , angalia kama amefata upendo wa kweli kwako? au kuna kitu kingine kafata? Otherwise all the best mydia
 

Mh Mbu............... leo sikuwa najisikia kupost kitu humu, ila hii post yako imenigusa. Hongera sana na tunakuombea kwa Maulana yote yawe kheri.
 
Reactions: Mbu
MwanajamiiOne, chukulia mfano wangu...
at the moment am so in love sina haja ya kuambiwa ukweli au urongo.,..nataka nipende tu thats all!!!

hahahahaha kaka Mbu hebu kwanza loh.....yaani kuwa hutakiambiwa ukweli wala urongo asa utajuaje yaliyomkerehesha huko alikotoka? au huyo wako hajakereheshwa, amekerehesha??

Am sorry to ask but are you sure its not infatuation hii ya kwako Mbu? two weeks ..and you are head over heels!!
 
Reactions: Mbu

MBU nilimsimlia historia yangu yote, alisikitika sana na kuniambia kwamba yeye sio aina ya wanaume niliozoea kukutana nao, ananijali kwa kweli tena saana lakini ndo siamini kama anafanya kutoka moyoni ama anapretent tu kama walivyokuwa wanafanya niliowahi kuwa nao. Hivyo nakuwa na tahadhari kubwa kujimwaga kwake mazima.

Kwa yale machache ninayoyafanya ili kumridhisha yeye anaona nampenda mpaka basi, eti hajawahi kukutana na mwanamke anayempenda kama mimi ila ailozea kuchunwa tu.

Binafsi najitahidi sana kulikubali penzi lake na kumuingiza moyoni ili nimpe malovee ya ukweli bila kujibanana lakini nasita kila nikikumbuka nilivyowahi ambiwa na jamaa mmoja kuwa sikuwahi kukupenda na alikuwa anaonesha kunipenda
 

Mydia.......with time you will be healed.....ili mradi tu ukubali.

Ila huyo alokwambia eti hakuwahi kukupenda naye...................kuna watu wanajua kuhurt wenzao!!
wengine tulishawahiulizwa kwa dharau na jeuri kubwa " ...kwa uzuri gani ulonao? nimeona wanawake kibao wazuri wa maana itakuwa wewe........" Unatamani kujibu au angalau kuuliza "kwa nini hukuwaoa hao?" basi tu unaamua kuepusha shari na kubakia tu unawaza ya kuwazwa.....................but tunashukuru kwani kupitia mambo kama hayo ndo tunakuzwa na kukomazwa kimapenzi ili tukijakutana na wenye kututhamini nasi tuwathaminii.
 
Hakyanani, we mtoto umeamkia wapi asubuhi hii,usinikumbushe na ivi vijimaneno kuna mengine ni bora mtu akuchape kama mtoto huwa hayatoki moyoni kabisa.

 
Reactions: Mbu
Hakyanani, we mtoto umeamkia wapi asubuhi hii,usinikumbushe na ivi vijimaneno kuna mengine ni bora mtu akuchape kama mtoto huwa hayatoki moyoni kabisa.
Mpendwa chauro we acha tu hii dunia iacheni tu. Pole kwa kukukumbusha but ah......ni kweli kabisa bora uchapwe kibao kuliko haya maana maumivu ya kibao yanapoa na kusahaulika but maneno kama haya hudumu. Mie haya yana miaka karibu mitatu moyoni, akilini mwangu lakini ninavyoyakumbuka ni kama ya nusu saa ilopita. ... Yaani hadi wapi aliweka coma, semi-colon na msonyo! lakini tunashukuru kwa yote maana tumekomazwa
 
Kuna wakati watu wanatulaumu bure lakini ni ngumu sana kurudi ulivokuwa kwa maneno kama hayo na wakati mwingine mtu hasemi mara moja anarudia kusema,hapo ndo unapopata akili kumbe hakusemea hata hasira alimaanisha aliyosema.
Baada ya siku mbili anategemea ufanane na chauro wa zamani inawezekana kweli.INAUMA SANA mtu anakupigisha kwata hatua elfu moja nyuma usipokuwa makini unapoteza na uhalisia wako kabisa.

 

Haswaaa...likisemwa mara moja hata akisingizia pombe wakati wajua hanywi utakubali kwani utasema ni hacra sasa ndo linarudiwa tena siku nyingine bila hata kosa/au kosa la mtoto! ................. sijui wanategemea sie tuna mioyo ya chuma?? but ole wako we likutoke la ...mwanaume gani wewe!........mbona utakoma.
Chauro mama......hebu tusiseme mengi tukawatisha watoto bure. Tumpongeze Mbu kwa kufungua moyo.
 
Reactions: Mbu
Sijui mapenzi yameumbwaje AD unaweza kuwa na kila kitu, unaweza jipa raha sana tu, unaweza kuwa na marafiki wengi wakakupa company..........but still you'll see something is missing somehow

Hakika!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 


Mtutishe mara ngapi?!Hapa nilipo nakataa SITAKI SITAKI SITAKI.
 
ehe.we naye nani kakuita huku jikoni bana?........hapa tulikuwa tunapiga paukwa pakawa wala haiko hivyo loh.

Hiyo ndo hali halisi bwana..mwenyewe najua kuna watu wa aina hiyo....kashaitumia sahani sasa anairushia mavumbi utadhani siku zote ilikua nyeupe leo ndo imebadilika rangi.
 
kila nikivunjika huwa najitahidi sana kuufungua moyo wangu, sababu sipendi kabisa kujikosesha amani ya moyo wangu
 
Reactions: Mbu

I beg to differ TIME does nt heal anything inaongeza tuu muda wa kumiss aliyekuvunja moyo, LOVE heals every thing, ukimwaga vibaya ukapata mtu unayempenda na akakupenda i.e u av CHEMISTRY, u will be ok. Ila usipopata mtu mnaye click even 10 years maumivu pale pale. Ndo maana nawaambia my friends if ur partner loves u so much if unaamini hauko for real leave him/her mapema kuliko kumsababishia maumivu ya maisha. If mmeagree sisi we are not serious its ok, ila sijui me nakupenda wanna marry me mwenzio anaweka tumaini halafu unaenda kwa mwingine, its baaad.
 

Utakuwa humtendei haki your next lover kama utamtaka aparticipate kwenye healing process ambayo hakuisababisha yeye. unatakiwa u-heal youself kwani ulipojeruhiwa hukuwa naye na zaidi sana ukilazimisha utakuwa unamjeruhi the current lover kwani alichokifuata hapo kwako siyo kukuponya bali kuwa your first lover. sas mkiachana utatafuta mwingine wa kuku-heal then utaanza ku penda tena lini?
Mzigo wa mess ups zako na your last lover usizihamishie kwa mpenzi wako mpya please utakuwa hujamtendea haki la sivyo utakuwa unamfananisha na yule aliyepita wakati ni watu wawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…