#COVID19 Fungueni kituo cha kupima COVID-19 Ndutu/ Ngorongoro

#COVID19 Fungueni kituo cha kupima COVID-19 Ndutu/ Ngorongoro

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Ni mwezi mmoja tu umebakia Nyumbu waende huko Ndutu na Serengeti kusini ilA hadi sasa hakuna tarehe tajwa ya kuweka kituo cha kupima corona maeneo hayo.

Hivi makampuni yatauzaje wageni kama hawana hakika kuwepo kwa kituo kwa muda stahiki? Au ni mpaka private sector ambayo ipo taabani kwa korona ijichange iweke kituo?

Yaani hatupo serious; sijui tumelaaniwa na nani.
 
Back
Top Bottom