mr kipengele
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 210
- 620
Jamani naomba kujua kiundani hii elimu ya veta kwenye zile short courses za NVA
NVA I inasoma kwa muda gan?
NVA II inasomwa kwa muda gani?
NVA III inasomwa kwa muda gani?
Anaefahamu naomba unipe mkadima kidogo.
NVA I inasoma kwa muda gan?
NVA II inasomwa kwa muda gani?
NVA III inasomwa kwa muda gani?
Anaefahamu naomba unipe mkadima kidogo.