mr kipengele JF-Expert Member Joined Oct 5, 2022 Posts 210 Reaction score 620 Aug 15, 2024 #1 Jamani naomba kujua kiundani hii elimu ya veta kwenye zile short courses za NVA NVA I inasoma kwa muda gan? NVA II inasomwa kwa muda gani? NVA III inasomwa kwa muda gani? Anaefahamu naomba unipe mkadima kidogo.
Jamani naomba kujua kiundani hii elimu ya veta kwenye zile short courses za NVA NVA I inasoma kwa muda gan? NVA II inasomwa kwa muda gani? NVA III inasomwa kwa muda gani? Anaefahamu naomba unipe mkadima kidogo.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Aug 15, 2024 #2 Hizo ni long course. Level I ni mwaka mmoja Level II ni miaka miwili Level III ni miaka mitatu