Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

sitosahau kipindi nikiwa na 5 years nikiwa nipo katikati ya barabara kubwa ya kokoto,lilipita kundi kubwa la ng'ombe sasa nikiwa katika harakati za kuwakimbia ng'ombe hao bahati mbaya nikateleza na kuanguka chini,lile kundi la ng'ombe lilinipita kwa juu hali ya kuwa mimi nipo chini nikilia kwa sauti kali sana kwa uwoga,bi mkubwa alikuwa anashuhudia lile tukio uku nae akilia sana acjue nini cha kufanya uku akiamini mwanae nakufa kwa kukanyagwa na ng'ombe hao. Ila Malaika wa Mungu walikuwa pamoja nami,wale ng'ombe waliishia tu kunikwepa na mmoja alibahatika kuniachia kimba la tumbo.
Sitosahau hii siku japo nilikuwa mdogo lkn bdo taswira nnayo na pia bi mkubwa alishawahi kunikumbushia hii kitu.
 
sitosahau siku najua kuwa mama angu ni mgonjwa na hawezi kupona na amerudishwa nyumbani akisubiri kifo

R.I.P Mama angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…