Fungukeni Wanawake wa Tanzania ....!

nadhan wanaume ndo waelimishwe kwanza kuachana na hiyo dhana ya kuona mwanamke akisema ana tabia mbaya,hawakawii kukuita kicheche kisa umemwambia unampenda.
 
Six Pack Abs......
Dreadlocks......


Urongo...

Nilikomaa nikajenga hizo six packs, lakini siku hizi sisalimiwi na wadada kam wakati ule nina kitambi. Wananiona kapuku tu...
 
Urongo...

Nilikomaa nikajenga hizo six packs, lakini siku hizi sisalimiwi na wadada kam wakati ule nina kitambi. Wananiona kapuku tu...
hahahaaaa duuu hi kali...
 

Jamani mwenzenu nimechoka, imefikia hatua nataka sasa wadada nao wafunguke, kila siku mimi tu kuwaimbisha!
 
Mimi ukinivutia tu nakuambia.......
hahahaaa alafu wanaume mlivyokua wa ajabu mkiambia ati mnashtuka na kuogopa!!!
 
Actions speaks louder!

You got it konnie! If u cant see the actions, even the words wont ring a bell!
Ukishajua unapendwa jiongeze..Kufunguka kunataka moyo, especially kwetu, imagine unamfuata a guy halafu anakukataa..mh it hurts!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…