inawezekana kweli ni maambukizi ya fungus kwenye kucha na km itangundulika ni fungus, dawa ya kutibu kabisa ipo, bali itabidi atumie dawa hiyo kwa muda mrefu kidogo mara nyingi angalau miezi 3 au zaidi, kwa hiyo ni bora mkamwone professional doctor anaetambulika kwa msaada zaidi.