yelewii mi pia zinanitesa saa hii najikwarua miguu ipo juu ya meza ya ofisiWakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme
Mh hiyo ya baharini ni kweli auPole hata mimi, ila jaribu kwenda baharini mara kwa mara, safisha miguu yako na yale maji, endelea kuloweka hiyo miguu kwa muda, nenda hata mara 2 kwa wiki, ukiweza, na ukienda beba dumu hata la lita 5/6 uchote yale maji uwe unaloweka miguu asubuhi na jioni, wiki au 2 utapona, dawa bure kabisa na utavinjari na hata kupata kabia ka pale na kule, hii dawa haina restrictions za alcohol wala kuumiza mwili kwa antibiotics ambazo ni mbaya sana watu wanasahau tu..
Ni kweli kaka, mie huwa zinasumbuwa mara kwa mara hasa kipindi cha mvua, maana miguu yawa na maji mara kadhaa...Mh hiyo ya baharini ni kweli au
sante sana naanza na detol leo aghrrr inaumaMkuu mimi ilibaki kidogo nilazwe hospital na ndio namalizia dozi sasa! Hatua namba moja uwe unaogea Dettal (liquid) ambayo utaweka kifuniko kimoja kwenye ndoo iliyojaa maji wakati wa kuoga! Pili, tumia tube inaitwa Melafin au Whitefield. Paka kila asubuhi na jioni. Tatu, kama hali inazidi kuzorota nenda hospital wakipge sindano zinaitwa Powersef kwa dozi ya week (sindano moja kila siku). Mwisho, pumzika kuvaa viatu kwa muda sasa na hakikisha miguu yako ni mikavu nyakati zote!
Njoo pm nikuekeze dawa mkuu! Inatibu fungus zote za nje.Wakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme
Huu ushauri ni kama ule wa nguvu za giza!Mkuu chukua pili pili japo mbili hivi zile za kuwasha hutegemea utapata zipi maana zipo pili pili kichaa zipo ndogo ndogo sana ukipata hizi japo tano hivi na pia zipo aina flani Mimi ninazijua kwa pili pili mbuzi aina yoyote utakayopata changanya na chumvi(itwange kwa pamoja). Halafu jipake sehemu hizo hii ni mzuri sana.
Note: inawasha hatari mkuu jipake mda ambao hautakuwa na shughuli yoyote.
Mkuu ningeweka maana ukiwa na shida utafanya je?