Kuna mwamba humu aliwahi kusema septrine unavisaga saga, kisha vinakuwa unga kabisa, kisha unachangany na mafuta mgando kama vile vaselin.
Hii dawa nilimuelekeza mtu na akanipa mrejesho mzuri, sijawahi kumuuliza kama huo ugonjwa ulimrudia tena ama vipi?