sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Chukua hii Pele na diogo hawakuwahi kushinda izo tuzo wakicheza Wala hawakuwahi kushindanishwa
But PELLE honored a ballondor 2013 na alipewa tuzo 7 kwa pamoja za heshima tu
MARADONA alipewa tuzo mwaka 1995 kama sikosei iliitwa the GOLDEN BALLONDOR
Pele alipewa 7 na zikawekewa miaka tofauti tofauti