Hawajawahi kupata ballon d or kwa sababu wakati wanacheza mpira iyo tuzo ilikua mahususi kwa ajili ya wachezaji wenye uraia wa ulaya tu. Ni mwaka 95 ndio ballon d or imeanza kushindaniwa na wachezaji wa mabara yote wakati huo pele ashastaafu na maradona nafikiri alikua anaelekea mwishoni mwa career yake.