Fununu na Tetesi

Fununu na Tetesi

MankaM

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
9,448
Reaction score
3,065
Wakuu nahitaji kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake tafadhari bila shaka hapa ndio mahali penyewe hususani katika kujifunza lugha
 
Ni kitu kilekile maana yake ni moja kuwa ni kitu ambacho hakijathibitishwa japo fununu huendana na usiri fulani wakati tetesi ni jambo la wazi
 
Ni kitu kilekile maana yake ni moja kuwa ni kitu ambacho hakijathibitishwa japo fununu huendana na usiri fulani wakati tetesi ni jambo la wazi

sante kwa ufafanuz
 
Back
Top Bottom