Z Zempugwa Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Jan 13, 2012 #21 Wewe acha utoto presha za nin jiamin yatatoka tu.
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 722 Reaction score 301 Jan 13, 2012 #22 Results zipo karibuni so usihofu, kila jambo lina wakati wake. *
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 722 Reaction score 301 Jan 13, 2012 #23 Results zipo karibuni so usihofu, kila jambo lina wakati wake.
K Kanyigo JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,027 Reaction score 193 Jan 13, 2012 #24 usitegemee miujiza!!
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Jan 13, 2012 #25 Mwaka huu selikari inampango wa kuziinua shule za kata kwa kuwapa ufaulu fake na kupunguza ufaulu wa shule za plivate,kama upo private ndugu yangu tegemea 4
Mwaka huu selikari inampango wa kuziinua shule za kata kwa kuwapa ufaulu fake na kupunguza ufaulu wa shule za plivate,kama upo private ndugu yangu tegemea 4
Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,217 Reaction score 3,694 Jan 14, 2012 #26 mimi nasikia tetesi watu wamefaulu sana.........hata wasiojua kusoma ili mradi wazili apedwe na wazazi
mimi nasikia tetesi watu wamefaulu sana.........hata wasiojua kusoma ili mradi wazili apedwe na wazazi