Funza wavamia kijiji cha Mbaazini Kenya

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Katika hali ya ajabu kabisa katika karne hii ya 21 nchini Kenya kijiji kimoja kimevamiwa na funza kufuatia kuvamiwa huko wanafunzi zaidi ya 50 wameshindwa kuhudhuria shule. Hii ni ajabu sanaaa humu JF kuna wa 254 wanajitapa tapa eti Kenya ni developed country for this issue you are disqualified
 
Ni kawaida.

Funza na Kenya ni kawaida.
 
Ni kawaida.

Funza na Kenya ni kawaida.
yaani ni mapacha au kusema kama ilivyo wazungu kupendelea ku settle Kenya bac nao Funza ni ma settler pale Kenya
 
Hii ina maana watu huko Kenya hawavai viatu
 
Hii ina maana watu huko Kenya hawavai viatu
Humu JF wa kenya wanajifanya wao ni Middle income country au wenyewe wanapenda sanaaaa kujisemea ni developed country .... Lkn funzaaaa zimewatekaaa balaaaaa na nasikia hata lodges za kenya nyinhi zina kunguniiii yaani nasikia hata ktk baadhi ya mahotel makubwa yaan kunguni are there
 
Funza ndio chawa??
Chawa anakaa kwenye nywele za kati kati kichwani ndio makazi yake, ana umbo la kunguni ila yeye ni mdogo mweupe.

Funza huingia miguuni katika nyayo anafanana na mbegu za bamia, wakiweka makazi muda mwingi, wanaharibu na shepu ya unyayo kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…