Funzo: Dunia inazunguka! Huyu hapa "Malik Abdul Aziz

Bashite kumfunga kamba za viatu ridhiwan Leo nyumba ndogo ya jiwe
 
Dunia duara kuna mtu sitopenda kutaja jjna lake ila miaka 4 iliyopita alikuwa kinyozi saloon moja hapa dar, tena nakumbuka kula yake ilikuwa ni mpka yule muuza chakula auze amalize harafu yeye anakula ukoko wa mia tano. Ila dakika hii ninavyoandika ni maarufu karibu East Africa nzima na ana pesa chafu..
 
Kwanza ufahamu kwamba Trump kashika fedha tangu Tyson hajaanza ngumi. Trump alitumika kama mshauri wa Tyson na malipo yake alidonate kwa charities.
Twenty years ago this month: Trump teams up with Tyson

Pia pitia hapa

Inside the bizarre ‘father-son’ relationship between Trump and Mike Tyson… and how ‘Iron Mike’ 'tried to kill himself over' rumours The Donald was sleeping with his wife
 
Nawashangaa sana wanaomchukulia poa Trump


Mkuu Trump tangu anazaliwa babaake ni milionea. Usifikiri kaanza zero kama wengi wetu humu. Wakati kipindi yuko young boy babaake alimpa Dola Milioni moja ya kuanzia maisha. Na hayo maneno katamka mwenyewe mbele ya kamera. Acha masiahara kabisa mkuu
 
Kipindi hicho alikuwa msaidizi kwenye masuala ya fedha lakini bado alikuwa ni tajiri kuliko Tyson.

Napenda sana historia ya Trump kwa jinsi alivyopambana mpaka kufikia hapo.
Na pia ieleweke vizuri, Trump hakuwa msaidizi bali alikuwa mshauri wa maswala ya fedha, na kama ulivyosema, alikuwa ni Tajiri kuliko Tyson, na hapa si kwamba Tyson alimuajiri bali aliingia nae mkataba, kule kwa wenzetu inawezekana, yaan sawa na hapa Bongo leo ukijiona una pesa nyingi za kutosha na huoni kama unazi manage sawa sawa, unaweza kuingia mkataba hata na MODewji mkakubaliana akawa mshauri wako wa maswala ya fedha ukawa unamlipa, hapa watu wanadhani eti Trump alikuwa ameajiriwa kama kibarua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…