Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko miaka iliyotangulia katika uwasilishaji wa Ripoti yake kwa Rais.
Kutokana na mukhtadha huo, nashiwishika kusema kuwa hata Profesa Mruma yawezekana ripoti aliyowasilisha kwa Rais mnamo Septemba 2017 "ILICHAKACHULIWA' kukidhi nadharia za Rais Magufuli.
Madhara ya ripoti ile ni ile fedha tiliyoambiwa ACACIA wanapaswa wailipe Tanzania Tsh 190 Bilion sawa na Tsh 450 Trilion. Hata hivyo Barrick/ACACIA walikataa madai hayo na Tundu Lissu akashambuliwa kwa risasi na kuitwa msaliti
Ombi:
Ikimpendeza Rais naomba Prof Mruma awasilishe anachokijua ili aache legacy nzuri kama mtaalamu wa geology