Uchaguzi 2020 Funzo kwa CHADEMA: Next time msiandae mikutano yenu sambamba na ya CCM!

Una uhakika na unachokinena? tupe na takwimu za mbaazi na choroko kwa kulinganisha 2015 na 2017;
 
Hata JPM ana ID fake kama 3....moja anasoma tuu....nyingine anajibu kwa mihemko kama wana lumumba vilaza wengine tuu.....ingine ya kutukana wapinzani kama Lumumba tuuu
 
Chadema hawana shida isipokuwa kwa media za namna hii ambazo zote zinajikomba kwa watawala hazitowi kabisa fursa sawa kwa vyama vyote vya siasa ndo maana utasikia vinaandika Anna Mghwira kujiunga ccm in breaking News vina upendeleo wa hali ya juu sana anzia vinaonesha live mikutano ya ccm ya upinzani no kuanzia ITV azam millardayo clouds Chanel ten efm magic
 
Huwezi kuisaidia Serikali kama wakati inapambana na mafisadi wewe unasema wanaonewa.

Wakati inanunua ndege wewe unaona wivu.
Wakati inajenga reli unabeza.!!

Hapo ndipo unapodhihirisha tafsiri ya jina lako...

Wakati unafanya hivyo vitu vyooote hao wanaobeza,wenye wivu, nk HUWA WANAWASHIKA MIKONO MSHINDWE KUFANYA?
KAMA MNAFANYA NA MNA UHAKIKA NI TIJA FANYENI TUTAONA MATOKEO HALAFU TUPIME, TUTAKAPO PIMA NA KUONA KUNA SHIDA MAHALA LAZIMA PIA TUSEME..
 
Vipi kuhusu pato la Mtanzania limeongezeka ama limepungua?

Vipi kuhusu umeme.... Ni wa uhakika ama?
Kwani kwenye kamati kuu yenu mliongelea hayo na kuja na matamko au mmekuja na matamko ya kutocheza mpira na bunge la Africa?
 
Ccm ndy makarai ndiyo maana baba yenu anachukua kwa gharama ili awape nafasi ya uongozi maana makarai hayawezi pelekwa sebuleni hata hili hamtambui?
 
Kwani Mkuu hapa katikati palitokea mkutano wa chadema nje ya vikao vya chama dume vinavyoendelea?
 
Unapimaje mafanikio? Au unatumia kipimo cha kiccm kujua mafanikio. Wananchi wamepata ujumbe wa cdm na wale wanaukubali upinzani na kupuuza siasa za kishenzi hawatashiriki uchaguzi wowote unaoandaliwa na tume ya wahuni chini ya mwenyekiti wa ccm.
Nitafurahi moyo huu ukiendelea hata 2020 tupunguze gharama za uchaguzi, lakini nikifikiria ruzuku ilivyo na umuhimu sizani kama mpo tayari kutoshiriki uchaguzi huo!..
 
Nitafurahi moyo huu ukiendelea hata 2020 tupunguze gharama za uchaguzi, lakini nikifikiria ruzuku ilivyo na umuhimu sizani kama mpo tayari kutoshiriki uchaguzi huo!..

Mimi maisha yangu hayaendeshwi na ruzuku ya siasa. Wanaotegemea ruzuku ndio wataathirika wala sio mimi.
 
Chadema ni chama cha ovyo sana, ukiangalia hata jumuiya zake hazieleweki kwa mf bawacha,bavicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…