Funzo toka Uganda

Funzo toka Uganda

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Miaka ya nyuma adui mkuu wa Museveni alikuwa Daktari Kiiza Besigye, mpiganaji mwenzie wa mstuni na mshirika wa Museveni wakati wa mapambano.

Museveni alitumia kila njia kumdhibiti msomi hii ikiwa pamoja na kukamatwa sana, kufungiwa nyumbani na mengi mengineyo.

Besigye alifikia mahali akaamua kupumzika lakini badala yake amezuka Mwanamuziki (sio Daktari kama Besigye, hakupigana msituni) na huyu anampeleka mbio Museveni.

Tuna la kujifunza. Nchi inaweza ikaangukia katika mikono ambayo haikutayarishwa kwa sababu ya watawala kuwa myopic
 
Kama kuna la kujifunza ni Tanzania yaliyotokea katika uchaguzi mkuu kila mwenye akili timamu alishuhudia na hakika yajayo yanasikitisha.

kwa sasa habari ya mjini ni Chato!
 
It high time Mr museveni give chance to young leaders , you have done you part just step aside with respect see how people of Uganda are dying , safarring and intimidating them remember that there is life losing elections .
 
Some leaders in africa are very ruthless and heartless but the good thing is that no matter what everyone has his time to go. Real dictators went so even the dictators we have now will also go it's just a matter of time death will equalize everyone
 
Back
Top Bottom