Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mng'undu unakuwasha?Weka jako hapa! Sio unaandika mambo ya hovyo ya wengine!
American Spirit, yeah Le Mutuz aliweka historia yake wazi....A to Z.Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe...
Hili hata Mzee wa Chato hakuona umuhimu wake matokeo yake wametokea wahuni wanaandika wanachojuwa wao.Hii ni nzuri. Japo watu wanaogopa kufa.
Na miaka hii hakuna mtu mwenye muda wa kuandika historia ya mwingine, wataandika juu juu tu
Ongezea marehemu alipokuwa mzururaji kuna wakati alikiwa akipiga nyeto ....historia zinakuwa fupi and clearSasa unakuta wengine historia ya maisha yao ni fupi sana,
Marehemu alizaliwa,kisha akazurulaa,halafu akafa.
ππ