Fupi tamu ndefu inakera!!!

Fupi tamu ndefu inakera!!!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Huo ni msemo wanaoutumia sana hawa Ze comedy(wa EATV),hivi wana maana gani?
 
Utajuta kwa majibu ya wana JF.
Wasubili wanakuja sasa hivi.
 
hizo ni sousage vp we unapenda zipi ndefu au fupi?

Sousage si tamu zote tu iwe ndefu au fupi zote tamu,cha kushangaza kwanin hawa zecomedy wanasema fupi ndio tamu? Ni kitu gani hicho?
 
Pipi ya kijiti, ikiwa fupi huwa wanadai ni tamu ila kijiti kikiwa kirefu wanadai kinawakera
 
nadhani watakua wna waponda wale ORIGINAL COMEDY..otherwise wanamaanisha 'ICE CREAM YA NGOZI'..
 
Suala ni how u handle show husika ili kuleta maana ya msemo uliotajwa hapo juu.
 
Yatawashinda!, wapigieni simu wawape uhakika kulko kupotoshana tu. Maana tafusiri ni nyingi tu zaweza kuwa ndizi, safari, nyimbo, Chorus, na hiyo unayoiwaza.
 
KaAazi kweli kweli!kwan aliotoa mada yy alikuwa anamaanisha nini?
 
kama hii?

560266_289100944537304_404006787_n.jpg
 
Back
Top Bottom