Furaha tele

BenElohimy

Senior Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
181
Reaction score
222
Wengi wetu upenda kusema nikifikia hatua fulani ya maisha hakika nitafurahi, lakini ukumbuke siku hiyo hauijui, wala majira yake hauyajui na kwa kufanya hivyo hauwezi kuwa na furaha iliyo kamili.

Lakini Jumapili ya leo nakuambia furahia pale ulipo, naam na kule unakoelekea utafika kwa msaada wa Bwana. Furahia maisha uliyonayo, furahia vile ulivyo navyo.

Ishi kwa furaha.
 
Achana kwanza na habari za furaha we ngano kilo bei gani uko vp mafuta lita!!!?
 
Asante kwa ujumbe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…