Furaha Tupu Kuwepo Mahali Hapa

Furaha Tupu Kuwepo Mahali Hapa

Ras Bongo M

Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
8
Reaction score
8
Jah... Rastafari.

Ninakushukuru na Kukuabudu wewe uliye pekee Mtakatifu Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo.

Ndugu katika uumbaji wa Muumba wetu, Amani na Upendo Vitawale Katikati Yetu. Kwa majina naitwa Magawa Bongo Magawa, Jina langu maarufu ni Rasta Bongo (Wengine, huita Ras Bongo/Magawa).

Ndugu zangu katika Imani, Mimi ni wa nyumba ya LAWI (Leviticus), Kuhani wa Simba ya Yuda, Mfalme wa Wafalme.

Sifa na Utukufu Namrudishia Mungu Aliye Hai, Aketiye Mahali Pa Juu Patakatifu Palipo Inuka.

Jah.. Rastafari.
 
Back
Top Bottom