Tuungane kumpongeza malipo ni shilingi ngapi maana nchi ngumu hii? tukubaliane kabisa au alivyoenguliwa ulikaa kimya.... kateuliwa sasa umejidai kutuma post ili kuonesha UNIKUMBUKE MHESHIMIWA???Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM...
Sasa wewe hapo ulipo upo sawa kilevel na mkuu wa mkoa..???hivi teuzi ni za kubembeleza ama mtu akipata teuzi ni anakuwa a very special person ama inakuaje yaani