Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
True happyness does not demand expensive stuff.
Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki.
Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi.
1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali
2. Watu wanaohitaji Mishahara mikubwa sana na vipato vya juu ili kujiboost moyo.
3. Mtu anayehitaji vyeo kwa kuhakikisha wenzake wanaishi kama mashetani.
4. Mtu anayepata furaha mpaka akiona jirani yake anaumia au yuko ktk mahanhaiko yeye ndio anapata furaha ya moyo
5. Mtu anayehutaji awe na nyumba kubwa ya kifahari huku majirani zake wabaki kuwa na vinyumba vya kawaida
6. Mtu anayefurahi kula nyama kilo tatu kwa meza yeye na marafiki wawili huku jirani zake wakiwa hata mlo mmoja wanaupata kwa shida.
7. Mtu yule anayehutaji alale na wanaume wengi au wanawake wengi ndio ajisikia raha huyo hana furaha hata angelala na wanawake 700.
8. Mtu anayehitaji kuteka, kutesa, na hata kuua ili awe huru na awe na amani automatically huyo hana furaha
9. Mlevi anyekunywa Bar moja hadi saa nane usiku na akitoka hapo haendi nyumbani badala yake anahamia Bar nyingine, hapo My friend hakuna furaha
Hizi Furaha za Kuboost ni miyeyusho tu. Yaani mpaka ule madawa ya kulevya ndio upate furaha? Mpaka ujiuze upate hela ndio upate furaha? Mpaka uteke watu au udhulumu?
Hizo ni Fake Happyness.
Do not waste your Precious time for Life in searching for virtual and unreal happyness.