Furaha ya mashabiki wa Simba sc itarejea endapo Mamelody Fc wataikanda Yanga Sc kwa mkapa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Furaha ya mashabiki wa Simba sc ipo mikononi mwa Mamelody Fc, hapa hakuna Tena uzalendo aliouzungumza waziri wa michezo

Mashabiki wa Simba sc wanaomba Mamelody Fc washinde ili mzani ubalance.

Je Yanga watapeleka kilio Mara mbili kwa mashabiki wa Simba sc au Mamelody Fc watairudisha furaha ya wanasimba?!
 
Je Yanga watapeleka kilio Mara mbili kwa mashabiki wa Simba sc au Mamelody Fc watairudisha furaha ya wanasimba?!
Yanga wapo na kibonde leo watampiga ndani nje hadi asahau njia ya kurudi kwao.

#daimambelenyumamwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…