Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Unaweza ukashangaa hili, ila uhalisia nikwamba Ili Mwanamke Akupende kwa dhati Daima ni lazima huko mwanzo uhakikishe kwamba Ulimpitisha kwenye Mateso ya Kihisia.
Mtu anaweza niuliza, kwahiyo mwanamke havutiwi na wanaume wanaompa Starehe na mitoko ya kila aina ?
Lkn , Ukielewa jinsi "Ubongo wa mwanamke unavyofanya kazi" , utapata jibu.
Ubongo wa mwanamke , Uliumbwa kwa uwezo wa " Kutohoa Furaha kutoka katika Hisia "
Ndio sababu mwanamke anaweza Kuangalia tamthiliya za majonzi na kweli nayeye akaanza kulia weeeeee kama vile nikweli.
Ataangalia Tamthiliya fulani labda inayohusu mwanamke fulan anayepitia jambo fulani " ila yeye ataishia kusema ningekua mimi ningefanya moja, mbili, tatu " Kwann haya ??? Jibu ni Hisia.
Mtunzi mzuri wa Riwaya, Tamthiliya n.k, Lazima atumie mbinu ya kuteka hisia ..ndio maana kuna Movies huwa zinawaliza watu lkn hawachoki kuzitazama !!!
Kwann?? Kwa sababu ya HISIA ... Unapokua chanzo cha Hisia za Furaha na hisia za Huzuni kwa Mwanamke... Ubongo wake utakutafasiri kama mwanaume pekee unayemuwezea na hapo MAISHA YAKE YA KIHISIA YATAKUTEGEMEA WEWE.( Kwenye hii hatua unakua umefaulu kumfanya mtumwa wa kihisia kwako).
Simaanishi Vipigo na matusi au nn [emoji23][emoji23].... Panapohitajika KARIPIO MPE KARIPIO. panapohitajika MAKOFI MAWILI MATATU MPEE .panapohitaj Kuelekezwa MUELEKEZE ,panapohitajika Kumtesa Kihisia ( mfano kumwonyesha unaweza ishi bila yeye, MWONYESHE ) panapohitajika KUMBEBISHA, MBEBISHE SANAA TU AJIONE MALAIKA.......HATOKAA KUKUACHA ET KWA SABABU YA HAYO.
kumbukeni, kuna wakat huwa mpaka wanaanzisha vidrama drama ili mradi mkwaruzane kwaruzane, ajihisi MPYA.......
[emoji109]HIYO NI ASILI HATUWEZI KAMWE KUPINGANA NAYO
[emoji117]TUYAACHE HAYO...... TUJE KWENYE LENGO LA UZI
Hivi unajua Furaha ya Mpenzi/ mkeo imeegemea kwako??
sikilizeni niwambie, Furaha ya mwanamke kwenye uhusiano nawewe inafuata haya
[emoji818]UONGOZI .... Fanya unavyoweza ,fanya ujuayo ,wewee sijui kua bize sanaa, HAKIKISHA umemfanya mkeo/mpenzi wako aamini kua wee ni KIONGOZI WAKE UNAYEMUONGOZA.
[emoji818]MAMLAKA ... yaan hata aweje ,awe kasoma sana zaidi yako. Awe uwezo mkubwa kiuchumi, hakikisha umefanya ajue , WEWE NDIO MWENYE MAMLAKA NAYE
[emoji818]KUTAWALA..... Kwa sababu ni wako. Mfanye ajue wee ndio unayemtawala.
Haraka haraka katika Dunia yetu, utasikia mwanamke anakuambia,
--sipendi mwanaume mwenye kunitawala.
--napenda mwanaume anayenisikiliza kila nachomwambia
Lkn ndugu zangu ukweli nikua huyu mwanamke hata kutoka ndani ya moyo wake, anakua anataka uwe dominant wake ,anakua anataka uwe mamlaka juu yake, anakua anataka uwe kiongozi wa maisha yake.. NA KWA WEWE KUFANYA HIVO NDIVYO YEYE ANAJIHISI MWENYE FURAHA[emoji23]
Wanawake walio wengi hawapendi kua kama "Mama yako aliyekuzaa" yaan akuleee ,yeye ndio akuoshe, akuvishe nguo. Akutawaze ,akunywenye uji. Ulale ....hawapendi.
Mwanamke hata kama Amekuzidi umri, ili mradi ni mpenzi wako. HAKIKISHA UNAKUA MWANAUME. MWANAUME KTK NYANJA ZA KUMTAWALA, KUMUONGOZA NA KUA NA MAMLAKA JUU YAKE .
HATA KAMA KAKUZIDI ELIMU. AU AMEKUZIDI UCHUMI, AU VYOVYOTE VILE, HAYO MAMBO MATATU. YASIKUTOKE MAISHANI MWAKO.
Usipokua nayo, Hata, uletewe mwanamke asiye na kila kitu yaan kuishi kwake kunakutegemea Pesa yako, ATAKUSUMBUA SANA TU.
Kwan mnadhan , Madem huwa wanafata nn kwa Bad boys???.
Na kwann mahusiano mengi au ndoa zile ambazo Mwanaume ni Mlokole , bebi bebi nyingiiii weee, mara nn, ndizo zinaongoza kuvunjika ????.
Kua na hayo, alafu mpende. Mjali. Mthamini kama mkeo ,mpenzi wako.
Maneno yangu sio sheria!!