Furaha ya Mwanamke inakutegemea wewe Mwanaume!

GOOD GIRL
 
Ukiliweza hili hakuna mwanaume wa kukupiga wanawake wanaponzwa na kujifanya wajuaji ety nipige we si.mwanaume aisee hii.kauli ukiniambia utajikuta huna pua
 
S𝚘𝐦𝒐 𝑛ᴢ𝘂𝙧𝘪 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘮𝘬𝘶𝘶
 
umegusa kulekule mwamba
 
mmmmh
 
Ukiliweza hili hakuna mwanaume wa kukupiga wanawake wanaponzwa na kujifanya wajuaji ety nipige we si.mwanaume aisee hii.kauli ukiniambia utajikuta huna pua
kauli moja ya dharau sana hii, nitamchangamsha na makofi mawili matatu kwanza network isome
 
Njoo kwangu mama D, Mimi nitakupiga kwa mkuyenge tu hadi uote sugu.
 
Zerooo eti mwanamke anayekutegemea kwa pes zako atakuzingua ulizani nani akutunzie familia yako akiwepi mke jitoe ufahamu hata mama ko alitunzwa na baba ako nawewe hapo navimawazo vyako feki mlitunzwa ada ulilipiwa na baba ako utabakia single utakufa single kisa kutaka hela za wanawake .
Mliambiwa mtatafuta kwa uchungu sie tutazaa kwa uchunguu.
Mwone ndio maana sura kama fanicha za enzi za nyerere
 
Atomic bomb nimelihifadhi kwa kazi maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…