jione huruma na maisha yako.
jione huruma na maisha yako.
Anafurahia wakati nyimbo ya kundi lake (Navy kenzo ft Vanessa mdee-GAME) ni copy and paste ya wimbo wa Patoraking uitwao Danniela whine!!!
Kweli kabisa yaan uwa nazisikiliza beat zipo sawa kabsa tofauti ni video tu
Save ur energy bros
Hii ngoma ya game ni matata sana na itasumbua sna huko Mtv
hayo ya kucopy kwa pato watajuana wenyewe cha msingi ni kua status ya Tanzania imesha funguka kimuziki.
Ebu copy na ww uone kama hata itapigwa vipind vya ucku au vya watoto kama hujaickiliza mwenyewe chumban
Wabongo hawakosi cha kuongea.
Ebu kopi na ww uone kama itapigwa hata radio uhuru?
Anafurahia wakati nyimbo ya kundi lake (Navy kenzo ft Vanessa mdee-GAME) ni copy and paste ya wimbo wa Patoraking uitwao Danniela whine!!!